SECURITY NOTICE: Beware of Fake BE FORWARD Emails! (read more). - Updated Feb 20, 2015

Order Of Makes

Order Of Types

Other Categories

Popote ulipo tutakufikia!

BE FORWARD Tanzania

Getting Closer To You! BE FORWARD Tanzania

Wateja wetu wa Tanzania

 • TOYOTA IST

  TOYOTA IST

  Najivunia kununua gari aina ya Toyota IST toka BE FORWARD naifurahia gari yangu nzuri na ninaipenda sana. Kwanza nimeipata kwa urahisi bila usumbufu wowote. BE FORWARD ukweli wanahuduma nzuri sana.na nina mpango wa kununua gari lingine toka BE FORWARD magari yao ni imara na ya uhakika.

  ZANBIA SAID KINYOWA
  Tanzania
 • TOYOTA NOAH

  TOYOTA NOAH

  Ni mara yangu ya kwanza kuagiza gari kupitia kampuni hii. Kwakweli nimeipenda kampuni hii kutokana na huduma zao nzuri, kuanzia japani hadi Tanzania nilipokabidhiwa funguo. Ni muda mchache pia unakuwa unapewa taarifa ya gari lako likiwa njiani hadi linapowasili bandarini (CAP). Namshukuru Mr Ghani pia na uongozi wote wa BE FORWARD.

  RODRICK
  Tanzania
 • TOYOTA RAV4

  TOYOTA RAV4

  Kwa kweli huduma za BE FORWARD binafsi nimerithishwa nazo sana. Gari wanazosafirisha ziko kwenye kiwango chenye ubora sana. Mfano gari yangu tangu nilipoletewa yapata kama mwaka hivi bado sijaona hitilafu yoyote hadi sasa. Nashukuru sana kwani wengi wanalalamika kuletewa magari mabovu pindi waagizapo kupitia mitandao tofauti na BE FORWARD. Pia wengi wametapeliwa pesa zao kwa kuagiza kwenye mitandao tofauti na BE FORWARD. Ahsanteni sana BE FORWARD kwa kunitimizia ndoto yangu.

  RAHIMA MSELEM SAID
  Tanzania

Angalia shuhuda nyingine zaidi

BE FORWARD Tanzania Huduma kwa wateja. Karibuni Sana !

Unaweza kuperuzi na kuvinjari juu ya bidhaa zetu mtandaoni na kupata akisaidiwa kwa ukaribu zaidi na wafanyakazi wetu.

MAULIZO YA GARI

 • Kupata huduma za ukaribu zaidi na
  wafanyakazi wetu
 • Kupokea Ankara ya awali kukuwezesha
  kufanya malipo
 • Kupata taarifa ya gari yako baada ya kununua
 • Kupata taarifa ya awari ya gari utakalo.

USAJILI GARI

 • Msaada katika usajili wa gari yako.
 • Msaada katika namba ya gari yako.
 • Msaada katika Bima ya gari yako.
 • Msaada katika matengenezo ya gari kama
  yalitokea bandarini kwa wateja waliotumia
  Befoward Tanzania kama wakala.

USHAURI JUU YA KODI

 • Makadirio ya ushuru wa gari ulitakalo.
 • Makadirio kwa ujumla ya gharama zote mpaka
  upate gari yako mkononi. ( Kodi & Malipo mengine)
 • Ushauri juu ya kodi na bajeti yako ya gari.

UTOAJI WA GARI BANDARINI

 • Utoaji wa gari lako bandarini wenye ubora na ufanisi
  nchini Tanzania.
 • Mchakato kuwezesha kulipia Kodi za utoaji
  (Kuhakiki , Ukaguzi , Tathmini & Tamko )
 • Pata gari bila shaka.

BE FORWARD Tanzania
Palm Residency, Ground Floor
45-46 Chimara Road
(Opposite Ocean Road Hospital)
Dar es Salaam, Tanzania

Office Hours:
Mon.-Fri.: 8:30AM - 5:30PM

Tel: +255 222 924 120
+255 778 600 700

Email:tanzania@beforward.jp

Timu yetu ya mauzo

YUKO

YUKO

Date of Birth September 6
Favorite Food Indian
Favorite Movie The Road to Guantanamo
Hobby Traveling
Motto Valuable in the world is covered and hard to get to
Special Talent Piano
Favorite Car LINCOLN NAVIGATOR

GEOFREY

GEOFREY

Date of Birth December 17
Favorite Food Tilapia fish rice and beans
Favorite Movie Fast and furious series
Hobby Driving and watching movie
Motto Live, Travel, Adventure, and Bless and don’t be sorry.
Special Talent Convincing and advising.
Favorite Car Hilux sport

ADAM

ADAM

Date of Birth November 27
Favorite Food Fish and banana
Favorite Movie Bush men
Hobby Watching movie
Motto Positive anything is better than negative nothing.
Special Talent Pool table
Favorite Car IST

JUDITH

JUDITH

Date of Birth June 29
Favorite Food Ugali meat
Favorite Movie Any comedy movie
Hobby Listening Music
Motto Oneness is power
Special Talent Singing
Favorite Car Vanguard

DORCUS

DORCUS

Date of Birth June 16
Favorite Food Chicken banana
Favorite Movie With this ring
Hobby Cooking
Motto Be happy, Be bright, Be you.
Special Talent Convincing
Favorite Car Discovery 3

Maswali yanayoulizwa mara nyingi

Je ushuru umejumlishwa kwenye bei ya gari?
Ushuru wa nchi yako haujajumlishwa kwenye bei Unatakiwa kulipwa na wewe mwenyewe kupitia agent utakaemchagua nchini kwako.kwa taarifa Zaidi kuhusiana na ushuru kwa wa Tanzania tafadhali waone Shirika la mapato Tanzania.
Ni kiasi gani cha gharama ya kutoa gari kwa mtanzania?
Gharama ya utoaji gari kwa mtanzania ni shilingi za kitanzania 295,000/- ikijumlisha na kodi.
Naweza kutumia BE FORWARD Tanzania kunipelekea gari katika mji niliopo hata kama nilinunua gari bila kulipia huduma hiyo?
Ndio,unaweza wasiliana na BE FORWAR Tanzania na ukafanya malipo kwa ajili ya huduma hiyo.
CIF mpaka Dar Es Salaam inajumlisha garama za utoaji gari?
Hapana,gharama ya utoaji gari haijajumlishwa kwenye Bei ya gari hadi Dar Es Salaam.
Mnaweza kusafirisha magari ndani ya Tanzania?
Kwa sasa, huduma ya kupeleka magari ndani ya Tanzania ipoTunduma na Kasumulu. Ila tupo kwenye mpango kuongeza huduma hii katika miji mingine.
Ni vitu gani zinatakiwa kwa BE FORWARD Tanzania ili kitoa gari?
Tafadhali tutumie nakala ya kitambulisho chako kupitia barua pepe, na kitambulisho chako cha kusafiria au leseni.

Local Port Services - Dar es Salaam

BE FORWARD City Delivery Service provides fast and secure delivery to our customers in the Tanzania area. See the map below for details.

Tanzania

Delivery To Tunduma:
From Dar es Salaam
via driver by BF Tanzania
Delivery To Kasumulu:
From Dar es Salaam
via driver by BF Tanzania

Zambia

Delivery To Lusaka:
From Dar es Salaam via Nakonde
via driver by BF Tanzania and BF Zambia
Delivery To Nakonde:
From Dar es Salaam
via driver by BF Tanzania
Delivery To Ndola:
From Dar es Salaam
via driver by BF Tanzania and BF Zambia
Delivery To Kabwe:
From Dar es Salaam
via driver by BF Tanzania and BF Zambia
Delivery To Chirundu:
From Dar es Salaam
via driver by BF Tanzania and BF Zambia
Service also available to:
 • Burundi
 • DR Congo
 • Malawi
 • Zimbabwe
Contact BE FORWARD Tanzania for details and availability
Map Legend
 • Port of delivery from Japan
 • Service Area
 • transported via driver
 • City
 • transported via car carrier
 • transported via container

Click HERE to see our reasonable pricelist!

Why Choose Our Local Agent

While your car is in our care, we will guarantee it arrives as purchased. If anything goes wrong with the vehicle or its parts, we will repair or replace it free of charge. With BE FORWARD, you can rest assured that your vehicle will arrive safe, sound and in good working condition.

BE FORWARD Repair/Replacement GUARANTEE

BE FORWARD City Delivery Service Testimonials

 • TOYOTA COROLLA SPACIO

  TOYOTA COROLLA SPACIO

  Am very happy I collected my vehicle from BE FORWARD parking in good condition. The BE FORWARD Tunduma team assisted me very well. I like the system used by BE FORWARD - handling vehicle with a check sheet. With this you will always make me trust on you. I like the way you care for the customer.

  VICTORA NGALULA
  Zambia
 • BMW MINI

  BMW MINI

  Am glad for BE FORWARD Japan and Tanzania team. It was my expectation to get this vehicle in good condition and this is what happened. I thank Tunduma yard team for good customer care. Imagine a small vehicle like mine travelled a long way from Dar to Tunduma without a problem. I am happy it is in good condition. Big up BE FORWARD. I will display a good image of you.

  EMANUEL CHAILA
  Zambia
 • HINO RAINBOW

  HINO RAINBOW

  Thank you BE FORWARD for good service. I collected my Bus from Tunduma yard on my way it got a mechanical problem but I was fully helped ‘til my vehicle became good again. Keep it up BE FORWARD.

  WINIFRED MUSANGEYA
  Zimbabwe

Frequently Asked Questions

Is the clearing fee in my country included in
the City Delivery price?
The clearing fee is included for Zambia customers that use
City Delivery to Nakonde and Lusaka. Other customers
must pay the fee or have an agent pay the fee for them.
Can I still use BE FORWARD Tanzania City
Delivery service even if I did not pay for it when
I purchased my vehicle from BE FORWARD?
Yes, you can contact BE FORWARD Tanzania and make
the payment to them for the City Delivery service.
Are Clearing & Delivery fees different on vans
with high roofs, compared to the regular
TOYOTA HIACE vans?
Yes, the fees are determined by the cubic meters (m3) of
the vehicle.

Clearing & Delivery Agents For Dar es Salaam

BE FORWARD Tanzania
BE FORWARD Tanzania
Palm Residency, Ground Floor,
45-46 Chimara Road,
Opposite Ocean Road Hospital,
Dar es Salaam, Tanzania
See our Office Locations
BE FORWARD Tanzania
Office Hours:
Mon.-Fri.: 8:30AM - 5:30PM
Closed: Saturday, Sunday & Public Holiday
BE FORWARD Tanzania
 • Tel: +255 222 924 120
  +255 778 600 700
 • Email:
 • Web: http://www.beforward.jp

Meet The BE FORWARD Tanzania Team

 • danny

  Danny
  Managing Director

 • Mwita

  Mwita
  Head Of Quality
  Assurance

 • Lazaro

  Lazaro
  System Admin

 • Beatrice

  Beatrice
  Operation Manager

 • Geofrey

  Geofrey
  Head Of Sales &
  Marketing

 • Pascal

  Pascal
  Head of E-Marketing

 • Festo

  Festo
  Transport Manager

 • Sarah

  Sarah
  Project HR Officer

 • Scolastica

  Scolastica
  HR & Legal Admin

 • Fatma

  Fatma
  Head Of Assessment
  & Declaration

 • Yuko

  Yuko
  Sales and Marketing
  Team

 • Charles

  Charles
  Shipping Line
  Supervisor

 • Issa

  Issa
  Account Department

 • Fatuma

  Fatuma
  Head of
  Documentation