Thibitisha anwani yako ya barua pepe ili upate Pointi za Akaunti Yangu na ufikie huduma zote za BE FORWARD' Onyesha zaidi
Barua pepe ya uthibitishaji ilitumwa kwa
Je! Huoni barua pepe? Tuma tena Barua pepe ya Uthibitishaji.
(Inaweza kupangwa kiatomati kwa folda ya barua taka au sanduku la takataka, kwa hivyo tafadhali angalia mara moja ikiwa huwezi kupata barua pepe.)
Anwani yako ya barua pepe imethibitishwa! Sasa una ufikiaji kamili wa huduma zote
Kuhusu hali ya usafirishaji - Ilisahishwa Juni 1, 2023
Kwako mteja wa thamani,
Kutokana na kupewa kipaumbele usafirishaji wa magari mapya kumesababisha ucheleweshaji wa magari yaliyotumika kuanzia May 2023.
Japo sisi kama BE FORWARD tunajitahidi kushirikiana kwa ukaribu na wasafirishaji ili kuhakikisha gari zinasafirishwa kwa haraka.
Tunatoa tanbihi kwa magari ya umeme, magari ya ajali, magari makubwa na mashine za ujenzi zinaweza kuchelewa kusafirishwa au zisisafirishwe kabisa kutokana na sheria za kampuni ya usafirishaji husika.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaosababishwa na tunashukuru kwa uelewa wenu. Tafadhali usisite kuwasiliana na ma afisa wa mauzo wetu kwa maswali yoyote.